Wavulana wavamia bweni la wasichana Nakuru
Wanafunzi kumi kutoka shule ya upili ya wavulana ya Anestar kaunti ya Nakuru wanazuiliwa na maafisa wa polisi kwa madai […]
Wanafunzi kumi kutoka shule ya upili ya wavulana ya Anestar kaunti ya Nakuru wanazuiliwa na maafisa wa polisi kwa madai […]
Makachero kutoka idara ya upelelezi (DCI) wamemshika mwalimu anayedaiwa kuwa mshukiwa mkuu wa visa vya wizi wa mtihani wa KCSE […]
Matokeo ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE yanatarajiwa kutolewa chini ya majuma mawili yajayo. Waziri wa Elimu […]
Mtihani wa kitaifa wa darasa la nane wa KCPE umengoa nanga kote nchini hii leo huku watahiniwa million moja, elfu […]
Serikali imetoa hakikisho kwamba imeweka mikakati makhususi kuhakikisha kwamba mitihani ya kitaifa inaendelea kote nchini pasipo kutatizika. Msemaji wa serikali […]
Shule zinatazamiwa kufungwa kabla ya Ijumaa wiki hii kuruhusu maandalizi ya mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na […]
Waalimu wameanza kupata chanjo ya corona huku wizara ya afya ikiwalenga zaidi ya walimu 200,000. Akiongoza uzinduzi wa chanjo hiyo, […]
Tume ya huduma za walimu (TSC) imewataka wafanyikazi wake walioko kwenye likizo wakati huu kukatiza likizo na kurejea kazini Jumatatu […]