Mahakama yawazuilia washukiwa wawili wa mauaji ya Wanjiru
Washukiwa wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mfanyibiashara Caroline Wanjiku watazuiliwa kwa siku kumi zaidi kuwaruhusu Polisi kukamilisha uchunguzi. Uamuzi […]
Washukiwa wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mfanyibiashara Caroline Wanjiku watazuiliwa kwa siku kumi zaidi kuwaruhusu Polisi kukamilisha uchunguzi. Uamuzi […]
Baba anayedaiwa kuwalipa watu kumuua mwanawe wa kiume eneo la Wendiga kaunti ya Nyeri atazuiliwa kwa muda wa siku tano […]
Mwakilishi wadi wa Karen kaunti ya Nairobi David Mberia amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au alipe faini ya Sh700,000 […]
Kesi ya ufisadi inayomkabili Gavana wa Kaunti ya Migori Okoth Obado na washukiwa wengine sasa itasikilizwa katika Mahakama kuu ya […]
Wakili Charles Kanjama amewasilisha kesi mahakamani kupinga shughuli ya kutathmini sahihi za mswada wa BBI iliyoendeshwa na tume ya uchaguzi […]
Serikali imeshtakiwa kufuatia azimio lake la kuwapa wawakilishi wadi mikopo ya kununua magari. Kwenye kesi yake, daktari Magare Gikenyi anahoji […]
Polisi wamewakamata tena mwenyekiti wa shirika la kutetea haki za kibinadamu la MUHURI Khelef Khalifa pamoja na mwenzake Francis Auma. […]
Mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyekiri kumchapa na kumuumiza mwalimu wake amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi kumi na nane […]
Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko atashtakiwa kwa ugaidi pindi atakapopona na kuruhusiwa kuondoka hospitalini. Uamuzi huu umetolewa na […]
Mwanamke mmoja ni miongoni mwa washukiwa wanne walioshtakiwa leo kwa kumuibia marehemu. Kwenye kosa la kwanza, washukiwa Muguna Mutembei na […]