Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact

Author: Douglas Omariba

  • Home
  • Douglas Omariba

Mwanafunzi alilia haki baada ya kuchapwa na mwalimu – Eldoret

December 9, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Mwanafunzi alilia haki baada ya kuchapwa na mwalimu – Eldoret

Mwanafunzi mmoja wakike kutoka shule moja ya upili iliyoko mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu anauguza majeraha katika hosipitali moja […]

Crime/ Uhalifu

Wakaazi wa Kilifi waonywa dhidi ya kula nzige

December 8, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Wakaazi wa Kilifi waonywa dhidi ya kula nzige

Gavana wa Kilifi Amason Kingi amewaonya wakaazi wa kaunti hiyo dhidi ya kukula nzige wa jangwani. Kingi anasema huenda baadhi […]

Devolution/ Ugatuzi

Serikali yakana inapanga kuongeza karo ya vyuo vikuu (Audio)

December 8, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Serikali yakana inapanga kuongeza karo ya vyuo vikuu (Audio)

Serikali imekanusha ripoti kuwa ina mipango ya kuongeze karo ya vyuo vikuu kutoka shilingi elfu 16,000 hadi shilingi 48,000. Katibu […]

Uncategorized

Wakenya wakosa huduma za matibabu kwa siku ya pili mfululizo

December 8, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Wakenya wakosa huduma za matibabu kwa siku ya pili mfululizo

Huduma za matibabu katika hospitali mbalimbali za umma kote nchini zimesambaratika kwa siku ya pili mfululizo kudfuatia mgomo wa wauguzi […]

Health/ Afya

Shule kufunguliwa tarehe 4 Januari mwakani (Audio)

November 16, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Shule kufunguliwa tarehe 4 Januari mwakani (Audio)

Wanafunzi wote watarejea shuleni tarehe nne Janauri mwaka ujao kwa muhula wao wa pili. Tangazo hili limetolewa na Waziri wa […]

Uncategorized

Mtu mmoja afariki, magari mawili yakishika moto barabara kuu ya Mombasa

November 16, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Mtu mmoja afariki, magari mawili yakishika moto barabara kuu ya Mombasa

Mtu mmoja ameaga dunia  na wengine wanne kujehuriwa katika ajali ya barabara iliyotokea mapema hii leo katika eneo la Kapiti, […]

Uncategorized

Afisi kuu za kaunti ya Kirinyaga zafungwa kutokana na corona

November 16, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Afisi kuu za kaunti ya Kirinyaga zafungwa kutokana na corona

Afisi kuu za kaunti ya Kirinyaga zimefungwa kwa muda wa wiki mbili zijazo kuanzia hii leo kutokana na kuongezeka kwa […]

Health/ Afya

Faida ya Safaricom yapungua kwa asilimia 6

November 9, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Faida ya Safaricom yapungua kwa asilimia 6

Faida ya kampuni ya mawasiliano ya Safaricom nusu ya mwaka huu wa kifedha imepungua kwa asilimia sita, ikilinganishwa na kipindi […]

Business/ biashara

Mwanasiasa wa upinzani Tanzania atafuta hifadhi Kenya akihofia maisha yake

November 9, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Mwanasiasa wa upinzani Tanzania atafuta hifadhi Kenya akihofia maisha yake

Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International limepinga vikali mipango ya serikali ya Kenya kumrudisha kwao mwanasiasa wa […]

International/ Kimataifa

Ruto aunga mkono BBI kurekebishwa

November 9, 2020November 9, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Ruto aunga mkono BBI kurekebishwa

Naibu Rais William Ruto ameonekana kuuunga mkono viongozi kutoka jamii ya wafugaji, baraza la kidini nchini NCCK, baadhi ya makundi […]

Uncategorized

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Popular Posts

  • Politics/Siasa Wendani wa Ruto wakutana Jubilee

    Wabunge wapatao 38 wendani wa naibu rais William Ruto wamefanya mkutano wa...

  • Health/ Afya Watu 151 zaidi wakutwa na corona, nne wakifariki

    Idadi ya visa vya ugonjwa wa corona nchini imeongezeka na kufikia 38,529 ba...

  • Uncategorized Rais Uhuru Kenyatta kulihutubia taifa leo

    Rais Uhuru Kenyatta hii leo anatazamiwa kulihutubia taifa kutoa mustakabali...

  • Uncategorized Rais Kenyatta yuko Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali

    Rais Uhuru Kenyatta yuko nchini Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali ambapo...

  • Politics/Siasa Jamii za Shona na Wanubi zataka kutambuliwa

    Tume ya kutetea haki za kibinadamu (KHRC) imeitaka serikali ya Kenya kuwata...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • Uchaguzi Msambweni: Sharlet Mariam arudi ODM Muwaniaji huru kwenye uchaguzi mdogo wa Msambweni Sharl... 11 views per day
  • Tathmini: Nini kinafuata baada ya Joe Biden kushinda uchaguzi Marekani? Wengi wanajiuliza, je nini kinafuatia baada ya Joe Bide... 8 views per day
  • Rais Kenyatta awataka watumishi wa umma kuwahudumia wananchi Rais Uhuru Kenyatta amewakumbusha watumishi wa umma kuw... 8 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • facebook
  • twitter