Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact

Author: Felix Asoha

  • Home
  • Felix Asoha

Bibi,104, apona corona mara mbili Colombia

April 10, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Bibi,104, apona corona mara mbili Colombia

Carmen Hernandez,104, alipewa heshima kuu na wahudumu wa afya alipokuwa akiondoka hospitalini nchini Colombia. Kisa na maana? Amepona ugonjwa wa […]

Health/ Afya

Kenya yaomboleza na Uingereza kufuatia kifo cha Mwanamfalme Philip

April 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kenya yaomboleza na Uingereza kufuatia kifo cha Mwanamfalme Philip

Rais Uhuru Kenyatta amemuomboleza Mwanamfalme Philip aliyekuwa mume wa Malkia Elizabeth II aliyefariki akiwa na umri wa miaka 99. Rais […]

International/ Kimataifa

Idadi ya wazee wanaofariki kutokana na corona yazidi kuongezeka

April 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Idadi ya wazee wanaofariki kutokana na corona yazidi kuongezeka

Kenya imeripoti maambukizi mapya 1,091 ya corona kati ya sampuli 7,300 zilizopimwa katika muda wa saa Ishirini na nne zilizopita […]

Health/ Afya

GSU Hudson Wakise na mkewe walifariki kwa kuvuja damu nyingi wabaini upasuaji

April 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on GSU Hudson Wakise na mkewe walifariki kwa kuvuja damu nyingi wabaini upasuaji

Afisa wa GSU Hudson Wakise na mkewe ambaye ni Polisi wa trafiki Kilimani Pauline Wakasa walifariki kwa sababu ya kuvuja […]

Crime/ Uhalifu

Mashirika ya haki yalilia kufinywa na serikali

April 9, 2021April 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Mashirika ya haki yalilia kufinywa na serikali

Mashirika mbalimbali ya kutetea haki za kijamii yameishutumu serikali kutokana na kile yametaja kama kuminya uhuru wa kujieleza. Yakijirejelea kukamatwa […]

Politics/Siasa

Ruto amuomboleza Johnny

April 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Ruto amuomboleza Johnny

Naibu rais William Ruto amemuomboleza mwanasiasa Ahmed Ibrahim aliyefahamika na wengi kama Johnny. Ruto amemtaja Johnny kama kiongozi aliyeheshimiwa na […]

Politics/Siasa

UNHRC watoa mwongozo wa kufungwa kwa kambi za Dadaab na Kakuma

April 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on UNHRC watoa mwongozo wa kufungwa kwa kambi za Dadaab na Kakuma

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limetoa mwongozo wa kufunga kambi za Dadaab na Kakuma kama lilivyoelekezwa na […]

Security/Usalama

Margaret Kenyatta asifu mchango wa wauguzi katika kutoa huduma za afya

April 8, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Margaret Kenyatta asifu mchango wa wauguzi katika kutoa huduma za afya

Mkewe rais Bi. Margaret Kenyatta amepongeza kazi wanaoifanya wauguzi kuhakikisha kwamba umma umepata huduma za afya kwa haraka. Kimsingi, mkewe […]

Health/ Afya

DG Gideon Saburu huru kwa tuhuma za kusambaza corona

April 8, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on DG Gideon Saburu huru kwa tuhuma za kusambaza corona

Naibu gavana wa Kilifi Gideon Saburi ameondolewa mashtaka ya kusambaza virusi vya corona kimakusudi mwaka jana. Akitoa uamuzi huo, hakimu […]

Courts/ Mahakama

Waziri wa barabara Narok afariki

April 8, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Waziri wa barabara Narok afariki

Waziri wa barabara katika kaunti ya Narok John Marindany amefariki kutokana na kile kinaripotiwa kuwa matatizo yanayoambatana na virusi vya […]

Health/ Afya

Posts navigation

Older posts

Popular Posts

  • Politics/Siasa Wendani wa Ruto wakutana Jubilee

    Wabunge wapatao 38 wendani wa naibu rais William Ruto wamefanya mkutano wa...

  • Health/ Afya Watu 151 zaidi wakutwa na corona, nne wakifariki

    Idadi ya visa vya ugonjwa wa corona nchini imeongezeka na kufikia 38,529 ba...

  • Uncategorized Rais Uhuru Kenyatta kulihutubia taifa leo

    Rais Uhuru Kenyatta hii leo anatazamiwa kulihutubia taifa kutoa mustakabali...

  • Uncategorized Rais Kenyatta yuko Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali

    Rais Uhuru Kenyatta yuko nchini Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali ambapo...

  • Politics/Siasa Jamii za Shona na Wanubi zataka kutambuliwa

    Tume ya kutetea haki za kibinadamu (KHRC) imeitaka serikali ya Kenya kuwata...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • Uchaguzi Msambweni: Sharlet Mariam arudi ODM Muwaniaji huru kwenye uchaguzi mdogo wa Msambweni Sharl... 11 views per day
  • Tathmini: Nini kinafuata baada ya Joe Biden kushinda uchaguzi Marekani? Wengi wanajiuliza, je nini kinafuatia baada ya Joe Bide... 8 views per day
  • Rais Kenyatta awataka watumishi wa umma kuwahudumia wananchi Rais Uhuru Kenyatta amewakumbusha watumishi wa umma kuw... 8 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • facebook
  • twitter