Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact

Serikali yakana inapanga kuongeza karo ya vyuo vikuu (Audio)

  • Home
  • Uncategorized
  • Serikali yakana inapanga kuongeza karo ya vyuo vikuu (Audio)
Serikali yakana inapanga kuongeza karo ya vyuo vikuu (Audio)
December 8, 2020 Douglas Omariba

Serikali imekanusha ripoti kuwa ina mipango ya kuongeze karo ya vyuo vikuu kutoka shilingi elfu 16,000 hadi shilingi 48,000.

Katibu mkuu wa wizara ya elimu Zack Kinuthia amewahakikishia wanafunzi kuwa serikali haitakubali kuongezwa karo na chuo ambacho kitadhubutu kufanya hivyo kitachukuliwa hatua.

http://www.bibliahusema.org/wp-content/uploads/2020/12/ZAK-ON-VYUO.mp3
Uncategorized

Post navigation

Wakenya wakosa huduma za matibabu kwa siku ya pili mfululizo
Wakaazi wa Kilifi waonywa dhidi ya kula nzige

Popular Posts

  • Politics/Siasa Wendani wa Ruto wakutana Jubilee

    Wabunge wapatao 38 wendani wa naibu rais William Ruto wamefanya mkutano wa...

  • Health/ Afya Watu 151 zaidi wakutwa na corona, nne wakifariki

    Idadi ya visa vya ugonjwa wa corona nchini imeongezeka na kufikia 38,529 ba...

  • Uncategorized Rais Uhuru Kenyatta kulihutubia taifa leo

    Rais Uhuru Kenyatta hii leo anatazamiwa kulihutubia taifa kutoa mustakabali...

  • Uncategorized Rais Kenyatta yuko Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali

    Rais Uhuru Kenyatta yuko nchini Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali ambapo...

  • Politics/Siasa Jamii za Shona na Wanubi zataka kutambuliwa

    Tume ya kutetea haki za kibinadamu (KHRC) imeitaka serikali ya Kenya kuwata...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • Uchaguzi Msambweni: Sharlet Mariam arudi ODM Muwaniaji huru kwenye uchaguzi mdogo wa Msambweni Sharl... 11 views per day
  • Tathmini: Nini kinafuata baada ya Joe Biden kushinda uchaguzi Marekani? Wengi wanajiuliza, je nini kinafuatia baada ya Joe Bide... 8 views per day
  • Rais Kenyatta awataka watumishi wa umma kuwahudumia wananchi Rais Uhuru Kenyatta amewakumbusha watumishi wa umma kuw... 8 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • facebook
  • twitter