Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers

Category: Death/ Vifo

  • Home
  • Death/ Vifo

POLISI WAMSAKA MWANAUME ALIYETEKELEZA MAUAJI HOMA BAY.

December 5, 2022 Faith SyandaLeave a Comment on POLISI WAMSAKA MWANAUME ALIYETEKELEZA MAUAJI HOMA BAY.

Maafisa wa polisi kaunti ya Homa Bay wanamsaka mwanaume mmoja anayedaiwa kumuua mpenziwe mwenye umri wa miaka 28 kufuatia mzozo […]

Crime/ Uhalifu, Death/ Vifo

Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

November 27, 2022November 27, 2022 Elvis OmondiLeave a Comment on Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) Kikosi […]

Crime/ Uhalifu, Death/ Vifo, International/ Kimataifa, Security/Usalama

JENGO LA GHOROFA TANO MJINI RUIRU, KIAMBU LIMEPOROMOKA BAADA YA WAPANGAJI KUHAMISHWA.

November 21, 2022 Faith SyandaLeave a Comment on JENGO LA GHOROFA TANO MJINI RUIRU, KIAMBU LIMEPOROMOKA BAADA YA WAPANGAJI KUHAMISHWA.

Jengo hilo liliporomoka mwendo wa saa kumi asubuhi ya leo baada ya zaidi ya wapangaji 100 kuhamishwa jumapili mchana baada […]

Death/ Vifo, Security/Usalama

Watu tisa wafariki baada ya kuangukiwa na mashine Kilimani, Nairobi

August 26, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Watu tisa wafariki baada ya kuangukiwa na mashine Kilimani, Nairobi

Watu tisa wamefariki baada ya kuangukiwa na mashine ya ujenzi katika eneo la Kilimani, Nairobi. OCPD wa Kilimani Andrew Mbogo […]

Death/ Vifo

Maseneta wamuomboleza mwenzao Victor Prengei aliyefariki katika ajali

August 18, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Maseneta wamuomboleza mwenzao Victor Prengei aliyefariki katika ajali

Maseneta wamemuomboleza mwenzao wa kuteuliwa Victor Prengei aliyefariki baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani Nakuru Jumatatu usiku. Wakimuomboleza marehemu […]

Death/ Vifo

Kilio cha haki ndugu wawili waliouawa Embu wakizikwa

August 13, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kilio cha haki ndugu wawili waliouawa Embu wakizikwa

Hali ya huzuni na majonzi imetanda katika eneo la Kianjokoma kaunti ya Embu wakati wa mazishi ya ndugu wawili waliofariki […]

Death/ Vifo

Polisi kuchunguza mauaji ya ndugu wawili Embu

August 5, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Polisi kuchunguza mauaji ya ndugu wawili Embu

Inspekta Mkuu wa Polisi Hillary Mutyambai ameagiza kuanzishwa kwa uchunguzi kufuatia mauaji ya ndugu wawili waliofariki baada ya kushikwa na […]

Death/ Vifo, Security/Usalama

Caroline Kangogo aliuawa kwa risasi moja wasema upasuaji

July 27, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Caroline Kangogo aliuawa kwa risasi moja wasema upasuaji

Polisi mtoro Caroline Kangogo aliuawa kupitia risasi moja la kichwa. Matokeo ya upasuaji ulioendeshwa na mpasuaji mkuu wa serikali Dr. […]

Death/ Vifo

Walioathirika na mkasa trela la mafuta Siaya kulipwa fidia asema mbunge

July 19, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Walioathirika na mkasa trela la mafuta Siaya kulipwa fidia asema mbunge

Kila familia iliyoathirika na mkasa wa kuanguka kwa trela la mafuta huko Siaya ambapo watu 15 walifariki itapewa msaada wa […]

Death/ Vifo, Transport/Usafiri

Mwili wa Caroline Kangogo wapelekwa kwa hifadhi ya maiti

July 16, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Mwili wa Caroline Kangogo wapelekwa kwa hifadhi ya maiti

Mwili wa afisa wa Polisi Caroline Kangogo umepelekwa katika hifadhi ya maiti ya Iten saa chache baada ya kuripotiwa kujiua […]

Death/ Vifo

Posts navigation

Older posts

Popular Posts

  • Parliament/Bunge , Politics/Siasa , Uncategorized TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

    Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametanga...

  • Politics/Siasa UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga

    Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia kuwasilisha kesi maha...

  • Uncategorized Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

    Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza r...

  • Crime/ Uhalifu , Death/ Vifo , International/ Kimataifa , Security/Usalama Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

    Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani ka...

  • Security/Usalama Ruto apokonywa walinzi

    Naibu rais William Ruto amenyanganywa walinzi wake. Maafisa wa GSU waliokuw...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila O... 1.57 views per day
  • UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia k... 1.09 views per day
  • Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga. Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya... 1.08 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers