Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers

Category: Transport/Usafiri

  • Home
  • Transport/Usafiri

KENYA IMEMAKINIKA KUKARIBISHA VIWANDA ZAIDI VYA KUUNDA MAGARI

June 8, 2023June 9, 2023 Elvis OmondiLeave a Comment on KENYA IMEMAKINIKA KUKARIBISHA VIWANDA ZAIDI VYA KUUNDA MAGARI

Kenya imejitolea kukaribisha viwanda zaidi vya kuunda magari ili kuongeza utengenezaji wa magari mapya nchini.  Rais William Ruto alisema Sera […]

Business/ biashara, Transport/Usafiri
Viongozi wa Muungano wa Marubani wa KQ wakihutubia wanahabri

MARUBANI WA KENYA AIRWAYS WAAGIZWA KUREJEA KAZINI KUFIKIA KESHO

November 8, 2022November 18, 2022 Elvis OmondiLeave a Comment on MARUBANI WA KENYA AIRWAYS WAAGIZWA KUREJEA KAZINI KUFIKIA KESHO

Mahakama imeagiza marubani wa kampuni ya ndege ya Kenya Airways (KQ) kurejea kazini kufikia saa kumi na mbili  asubuhi siku […]

Business/ biashara, Courts/ Mahakama, Transport/Usafiri

Atwoli amtaka Rais Kenyatta kueleza mbona mafuta yamepanda bei

September 17, 2021 Douglas OmaribaLeave a Comment on Atwoli amtaka Rais Kenyatta kueleza mbona mafuta yamepanda bei

Muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU umelaani vikali hatua ya serikali kuongeza bei ya mafuta. Katika taarifa, katibu mkuu […]

Transport/Usafiri

Starehe za abiria zaisha, matatu zikibeba kawaida

August 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Starehe za abiria zaisha, matatu zikibeba kawaida

Magari ya uchukuzi wa umma yamerejelea kubeba abiria kama ilivyokuwa kabla ya janga la covid-19. Wahudumu wa matatu wanatakiwa kuhakikisha […]

Transport/Usafiri

Walioathirika na mkasa trela la mafuta Siaya kulipwa fidia asema mbunge

July 19, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Walioathirika na mkasa trela la mafuta Siaya kulipwa fidia asema mbunge

Kila familia iliyoathirika na mkasa wa kuanguka kwa trela la mafuta huko Siaya ambapo watu 15 walifariki itapewa msaada wa […]

Death/ Vifo, Transport/Usafiri

NMS yahairisha majaribio kwenye stendi ya Green Park

June 15, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on NMS yahairisha majaribio kwenye stendi ya Green Park

Mamlaka inayosimamia Nairobi (NMS) limehairisha majaribio ya tatu kwenye stendi ya matatu ya Green Park yaliyokuwa yafanyike Jumatano. Katifa taarifa, […]

Transport/Usafiri

NMS kufanyia stendi ya Green Park majaribio mengine

June 10, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on NMS kufanyia stendi ya Green Park majaribio mengine

Mamlaka inayosimamia Nairobi (NMS) inatazamiwa kufanyia majaribio ya tatu stendi ya matatu ya Green Park Jumatano ijayo. Majaribio hayo yanatazamiwa […]

Transport/Usafiri

KENHA yaomba msamaha kufuatia msongamano wa magari barabara ya Mombasa

May 18, 2021 Douglas OmaribaLeave a Comment on KENHA yaomba msamaha kufuatia msongamano wa magari barabara ya Mombasa

Mamlaka ya barabara kuu nchini (KENHA) imeomba msamaha wakenya ambao wameathirika na msongamano mkubwa wa magari katika barabara ya Mombasa […]

Transport/Usafiri

Madereva wa teksi za mtandao wagoma

May 10, 2021 Douglas OmaribaLeave a Comment on Madereva wa teksi za mtandao wagoma

Madereva wanaowapata wateja wao kwa njia ya mtandao katika miji ya Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru na Naivasha wamesusia kampuni za […]

Transport/Usafiri

Popular Posts

  • Politics/Siasa UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga

    Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia kuwasilisha kesi maha...

  • Security/Usalama Tuwalinde watoto – Odinga awasihi wakenya

    Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ametoa wito kwa wakenya kushirikiana kum...

  • Devolution/ Ugatuzi , Politics/Siasa MSWADA WA FEDHA WA 2023 NI WA MANUFAA KWA WANANCHI – RAIS RUTO

    Rais William Ruto amewataka wabunge kuunga mkono Mswada wa Fedha wa 2023. &...

  • Blog James Mahmi Arejea Truth FM

    Mtangazaji tajika wa Injili James Mahmi amejiunga na Kituo Cha Truth FM.&nb...

  • Education/ELimu Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

    Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza r...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia k... 0.96 views per day
  • Tuwalinde watoto – Odinga awasihi wakenya Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ametoa wito kwa wake... 0.83 views per day
  • MSWADA WA FEDHA WA 2023 NI WA MANUFAA KWA WANANCHI – RAIS RUTO Rais William Ruto amewataka wabunge kuunga mkono Mswada... 0.76 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers