Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers

Category: Uncategorized

  • Home
  • Uncategorized

TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

January 24, 2023January 24, 2023 Elvis OmondiLeave a Comment on TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametangaza kutambua uhalali wa ushindi wa Rais William […]

Parliament/Bunge, Politics/Siasa, Uncategorized

‘Wakenya Hawataki Maandamano’ Ruto Amwambia Odinga.

November 28, 2022November 28, 2022 Elvis OmondiLeave a Comment on ‘Wakenya Hawataki Maandamano’ Ruto Amwambia Odinga.

Rais William Ruto amepinga hatua ya Kinara wa Upinzani Raila Odinga yakuandaa maandamano kupinga kubanduliwa afisini kwa makamishana wanne wa […]

Uncategorized

FIFA YAONDOA MARUFUKU DHIDI YA KENYA

November 28, 2022 Elvis OmondiLeave a Comment on FIFA YAONDOA MARUFUKU DHIDI YA KENYA

Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA limeondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya taifa la Kenya mwezi wa Februri mwaka huu. FIFA Kupitia […]

Uncategorized

Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

November 28, 2022November 28, 2022 Elvis OmondiLeave a Comment on Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza rasmi hii leo kote nchini. Hii […]

Uncategorized
Speaker of the National Assembly, Moses Wetangula

MAHOJIANO YA MAKATIBU WATEULE YASITISHWA.

November 16, 2022November 16, 2022 Faith SyandaLeave a Comment on MAHOJIANO YA MAKATIBU WATEULE YASITISHWA.

Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula amesitisha zoezi la kuwapiga msasa makatibu walioteuliwa na Rais William Ruto kuhudumu katika […]

Uncategorized

Mahakama yawafyata midomo wanahabari kwa kesi ya Lusaka

July 26, 2021July 26, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Mahakama yawafyata midomo wanahabari kwa kesi ya Lusaka

Wanahabari wamezuiwa kuchapisha taarifa, kutangaza, kujadili au kuhudhuria vikao vya kesi ambapo spika wa bunge la seneti Ken Lusaka ameshtakiwa […]

Uncategorized

Wakenya wengi hawataki BBI, utafiti

July 1, 2021July 1, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Wakenya wengi hawataki BBI, utafiti

Idadi kubwa ya Wakenya wangepiga kura kupinga marekebisho ya katiba kupitia BBI iwapo kura ya maamuzi ingeandaliwa leo umesema utafiti. […]

Uncategorized

Uhuru asema lengo lake na Raila ni kuacha taifa lenye umoja

May 28, 2021May 28, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Uhuru asema lengo lake na Raila ni kuacha taifa lenye umoja

Rais Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine amesisitiza kwamba ushirikiano wake na aliyekuwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga ni kuhakikisha kwamba […]

Uncategorized

Mahakama yamzaba Uhuru kofi kwa mara nyingine

May 27, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Mahakama yamzaba Uhuru kofi kwa mara nyingine

Serikali imepokea pigo jingine kutoka kwa idara ya mahakama baada ya jopo la majaji watatu kuharamisha teuzi za watu 128 […]

Uncategorized

Ijumaa ya tarehe 14 Mei itakuwa sikukuu – Serikali yatangaza

May 7, 2021May 7, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Ijumaa ya tarehe 14 Mei itakuwa sikukuu – Serikali yatangaza

Serikali imetangaza kuwa Ijumaa ya tarehe 14 mwezi huu itakuwa sikukuu. Katika tangazo kwenye gazeti rasmi la serikali, waziri wa […]

Uncategorized

Posts navigation

Older posts

Popular Posts

  • Blog James Mahmi Arejea Truth FM

    Mtangazaji tajika wa Injili James Mahmi amejiunga na Kituo Cha Truth FM.  M...

  • Parliament/Bunge , Politics/Siasa , Uncategorized TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

    Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametanga...

  • Politics/Siasa UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga

    Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia kuwasilisha kesi maha...

  • Uncategorized Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

    Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza r...

  • Crime/ Uhalifu , Death/ Vifo , International/ Kimataifa , Security/Usalama Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

    Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani ka...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • James Mahmi Arejea Truth FM Mtangazaji tajika wa Injili James Mahmi amejiunga na Ki... 4 views per day
  • TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila O... 1.38 views per day
  • UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia k... 1.09 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers