GILBERT DEYA HANA HATIA YA KUIBA WATOTO
Askofu mwenye Utata Gilbert Juma Deya asubuhi hii amepata afueni baada ya mashtaka dhidi yake ya kuiba watoto watano kufutiliwa […]
Askofu mwenye Utata Gilbert Juma Deya asubuhi hii amepata afueni baada ya mashtaka dhidi yake ya kuiba watoto watano kufutiliwa […]
*Mahakama ya Milimani imeridhia ombi la Mkurugenzi wa mashtaka ya umma (DPP) la kumwondolea kesi inayomkabili katibu mwandamizi katika wizara […]
Katibu wa Kudumu katika Idara ya Huduma za Magereza Esther Ngero amejiuzulu. Haya yanajiri wiki moja tu baada ya kuhamishwa […]
Maafisa wa polisi kaunti ya Homa Bay wanamsaka mwanaume mmoja anayedaiwa kumuua mpenziwe mwenye umri wa miaka 28 kufuatia mzozo […]
Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) Kikosi […]
NAIROBI, KENYA Nov 27 – Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani katika Jamhuri ya […]
Afisa wa Polisi wa kituo cha Njoro, Nakuru amemuua kwa kumpiga risasi mpenziwe aliyekuwa anatibiwa na kisha akajitoa uhai kwa […]
Hali ya vuta nikuvute imeshuhudiwa Kayole, Nairobi leo kufuatia maandamano ya wakaazi kulalamikia mauaji ya kijana mmoja anayedaiwa kuuawa na […]
Polisi huko Kitengela kaunti ya Kajiado wanachunguza kisa ambapo mama mmoja alimuaa mwanawe mwenye umri wa miaka miwili kabla ya […]
Maafisa wa polisi mjini Kiambu wanachunguza kisa ambapo wanandoa walipatikana wamefariki ndani ya nyumba yao. Miili ya mfanyibiashara Jonathan Gachunga […]