Wanariadha kutia kibindoni shilingi milioni tano kwa kuvunja rekodi.
Serikali ya Kenya imeahidi kwamba itakuwa ikimtuza shilingi milioni tano mwanariadha yeyote anayeandikisha rekodi mpya katika mashindano ya kimataifa. Katika […]
Serikali ya Kenya imeahidi kwamba itakuwa ikimtuza shilingi milioni tano mwanariadha yeyote anayeandikisha rekodi mpya katika mashindano ya kimataifa. Katika […]
Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA limeondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya taifa la Kenya mwezi wa Februri mwaka huu. FIFA Kupitia […]
Kenya ilimaliza ya kwanza kwa medali katika mashindano ya dunia ya riadha kwa chipukizi yaliyoandaliwa katika uwanja wa Kasarani jijini […]
Mkenya Faith Kipyegon ametetea DHAHABU yake kwenye mashindano ya Olimpiki ya mita 1,500 kwa akina dada mjini Tokyo, Japan. Kipyegon […]
Hatimaye Kenya imeshinda medali ya DHAHABU ya kwanza kwenye mashindano ya Olimpiki yanayoendelea mjini Tokyo, Japan. Emmanuel Korir aliishindia Kenya […]
Mkenya Nicholas Kimeli amefuzu kwenye fainali za mita 5,000 kwenye mashindano ya Olimpiki yanayoendelea mjini Tokyo, Japan. Kimeli anatazamiwa kupambana […]
Wanariadha wa Kenya wameshinda medali mbili kwenye mashindano ya Olimpiki yanayoendelea mjini Tokyo, Japan. Mwanariadha Benjamin Kigen ameshinda medali ya […]
Mkuu wa kamati ya maandalizi ya mashindano ya Olimpiki mjini Tokyo, Japan hajafutilia mbali uwekezano wa kusitisha mashindano hayo kunako […]
Rais Uhuru Kenyatta amekitakia kila la kheri kikosi cha Kenya kitakacholiwakilisha taifa kwenye mashindano yanayokuja ya Olimpiki mjini Tokyo Japan. […]
Serikali ya Kenya imekataa kuwaidhinisha wanariadha wake kushiriki mbio za masafa marefu za Kilimanjaro Marathon nchini Tanzania kwa kuhofia janga […]