Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers

Category: Politics/Siasa

  • Home
  • Politics/Siasa

TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

January 24, 2023January 24, 2023 Elvis OmondiLeave a Comment on TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametangaza kutambua uhalali wa ushindi wa Rais William […]

Parliament/Bunge, Politics/Siasa, Uncategorized
Rais william Ruto pamoja na Rais Cyril Ramaphosa katika ikulu ya Rais

RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA AMEWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI.

November 9, 2022 Faith SyandaLeave a Comment on RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA AMEWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI.

Alipowasili katika ikulu ya Rais jijini Nairobi , Rais Ramaphosa alipokelewa na mwenyeji wake Rais William Ruto na kupigiwa mizinga […]

International/ Kimataifa, Politics/Siasa

UDA YAKANA MADAI YAKUFADHILI MPANGO WA KUONGEZA MUHULA WA RAIS

November 8, 2022November 8, 2022 Elvis OmondiLeave a Comment on UDA YAKANA MADAI YAKUFADHILI MPANGO WA KUONGEZA MUHULA WA RAIS

Chama cha UDA chake   Rais William Ruto kimejitenga na pendekezo la kubadilisha kipengee cha sheria kinachomzuia Rais kuwa madarakani kwa […]

Politics/Siasa

IEBC yampata naibu mwenyekiti mpya

September 15, 2021September 15, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on IEBC yampata naibu mwenyekiti mpya

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini (IEBC) imemteua Juliana Cherera kuwa naibu mwenyekiti mpya. Mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati […]

Politics/Siasa

Uhuru amtuma Matiang’i Zambia kupeleka ujumbe maalum

September 2, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Uhuru amtuma Matiang’i Zambia kupeleka ujumbe maalum

Rais Uhuru Kenyatta amemtuma waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang’i kupeleka ujumbe maalum kwa rais mpya wa Zambia […]

International/ Kimataifa, Politics/Siasa

Tume ya jinsia yaadhimisha miaka kumi tangu kubuniwa

August 30, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Tume ya jinsia yaadhimisha miaka kumi tangu kubuniwa

Tume ya usawa wa jinsia nchini (NGEC) imeadhimisha miaka kumi tangu kubuniwa kwake kushinikiza kuwepo kwa usawa katika nafasi za […]

Devolution/ Ugatuzi, Politics/Siasa

Muungano wa NASA wakufa rasmi

August 27, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Muungano wa NASA wakufa rasmi

Msajili wa vyama vya kisiasa Ann Nderitu amedhibitisha kuondoa muungano wa NASA kwenye sajili yao, kumaanisha kuwa muungano haupo tena. […]

Politics/Siasa

Viongozi wa kanisa wataka patanisho baina ya Uhuru na Ruto

August 27, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Viongozi wa kanisa wataka patanisho baina ya Uhuru na Ruto

Viongozi wa kidini wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kupatana na naibu wake William Ruto kwa manufaa ya amani ya taifa hili. […]

Politics/Siasa

Kamati ya BBI kuelekea katika mahakama ya upeo

August 26, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kamati ya BBI kuelekea katika mahakama ya upeo

Kamati ya BBI imesema itaunga mkono rufaa ya mwanasheria mkuu Paul Kihara katika mahakama ya upeo kuhusu mchakato wa kurekebisha […]

Politics/Siasa

Matiang’i awashauri vijana kabla ya 2022

August 25, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Matiang’i awashauri vijana kabla ya 2022

Waziri wa Usalama wa ndani Fred Matiang’i ametoa wito kwa vijana kukataa kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu haswa msimu wa […]

Politics/Siasa

Posts navigation

Older posts

Popular Posts

  • Parliament/Bunge , Politics/Siasa , Uncategorized TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

    Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametanga...

  • Politics/Siasa UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga

    Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia kuwasilisha kesi maha...

  • Uncategorized Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

    Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza r...

  • Crime/ Uhalifu , Death/ Vifo , International/ Kimataifa , Security/Usalama Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

    Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani ka...

  • Security/Usalama Ruto apokonywa walinzi

    Naibu rais William Ruto amenyanganywa walinzi wake. Maafisa wa GSU waliokuw...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila O... 1.57 views per day
  • UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia k... 1.09 views per day
  • Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga. Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya... 1.08 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers