Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers

Category: International/ Kimataifa

  • Home
  • International/ Kimataifa

Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

November 27, 2022November 27, 2022 Elvis OmondiLeave a Comment on Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) Kikosi […]

Crime/ Uhalifu, Death/ Vifo, International/ Kimataifa, Security/Usalama
Rais william Ruto pamoja na Rais Cyril Ramaphosa katika ikulu ya Rais

RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA AMEWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI.

November 9, 2022 Faith SyandaLeave a Comment on RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA AMEWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI.

Alipowasili katika ikulu ya Rais jijini Nairobi , Rais Ramaphosa alipokelewa na mwenyeji wake Rais William Ruto na kupigiwa mizinga […]

International/ Kimataifa, Politics/Siasa

Uhuru yuko Marekani kwa ziara rasmi

October 11, 2021October 11, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Uhuru yuko Marekani kwa ziara rasmi

Rais Uhuru Kenyatta yuko mjini New York, Marekani kwa ziara rasmi ya siku mbili. Rais ameratibiwa kuongoza mkutano wa ngazi […]

International/ Kimataifa

Uhuru amtuma Matiang’i Zambia kupeleka ujumbe maalum

September 2, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Uhuru amtuma Matiang’i Zambia kupeleka ujumbe maalum

Rais Uhuru Kenyatta amemtuma waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang’i kupeleka ujumbe maalum kwa rais mpya wa Zambia […]

International/ Kimataifa, Politics/Siasa

Rais wa Zambia akubali kushindwa na upinzani kwenye uchaguzi

August 16, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Rais wa Zambia akubali kushindwa na upinzani kwenye uchaguzi

Rais wa Zambia wa Edgar Lungu amekubali kushindwa kwenye uchaguzi uliokamilika hivi punde. Rais Lungu kwenye hotuba kwa taifa amesema […]

International/ Kimataifa, Politics/Siasa

Vikosi vya KDF vyaelekea mjini DRC kuleta amani

August 10, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Vikosi vya KDF vyaelekea mjini DRC kuleta amani

Wanajeshi wa Kenya wameelekea nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kusaidia katika kupambana na magaidi. Vikosi hivyo inatarajiwa kutekeleza jukumu […]

International/ Kimataifa, Security/Usalama

Huenda mashindano ya Olimpiki Tokyo yakahairishwa tena

July 20, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Huenda mashindano ya Olimpiki Tokyo yakahairishwa tena

Mkuu wa kamati ya maandalizi ya mashindano ya Olimpiki mjini Tokyo, Japan hajafutilia mbali uwekezano wa kusitisha mashindano hayo kunako […]

International/ Kimataifa, Sports/ Michezo

Rais Assimi Goita anusurika shambulio la kisu

July 20, 2021July 20, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Rais Assimi Goita anusurika shambulio la kisu

Rais wa muda wa Mali Assimi Goita yuko salama baada ya kutibuka kwa jaribio la kumshambulia kwa kisu leo Jumanne. […]

International/ Kimataifa

ICC yadhibitisha mashitaka dhidi ya wakili wa Kenya Paul Gicheru

July 15, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on ICC yadhibitisha mashitaka dhidi ya wakili wa Kenya Paul Gicheru

Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita (ICC) imedhibitisha mashitaka dhidi ya wakili Mkenya Paul Gicheru. Mahakama hiyo yenye makao […]

Courts/ Mahakama, International/ Kimataifa

Uhuru ahudhuria ibada ya Kenneth Kaunda Zambia

July 2, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Uhuru ahudhuria ibada ya Kenneth Kaunda Zambia

Rais Uhuru Kenyatta yuko mjini Lusaka, Zambia kuhudhuria ibada maalum ya mazishi ya mwanzilishi wa taifa hilo hayati Kenneth Kaunda. […]

International/ Kimataifa

Posts navigation

Older posts

Popular Posts

  • Parliament/Bunge , Politics/Siasa , Uncategorized TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

    Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametanga...

  • Politics/Siasa UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga

    Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia kuwasilisha kesi maha...

  • Uncategorized Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

    Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza r...

  • Crime/ Uhalifu , Death/ Vifo , International/ Kimataifa , Security/Usalama Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

    Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani ka...

  • Security/Usalama Ruto apokonywa walinzi

    Naibu rais William Ruto amenyanganywa walinzi wake. Maafisa wa GSU waliokuw...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila O... 1.57 views per day
  • UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia k... 1.09 views per day
  • Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga. Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya... 1.08 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers