Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers

Category: Health/ Afya

  • Home
  • Health/ Afya

Chanjo ya corona inatolewa bure yasema serikali

August 30, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Chanjo ya corona inatolewa bure yasema serikali

Hakuna yeyote anayeruhusiwa kutoa chanjo ya corona mbali na wizara ya afya ameonya waziri Mutahi Kagwe. Huku akitoa wito kwa […]

Health/ Afya

Kenya yaripoti maambukizi mapya 932 ya ugonjwa wa corona

August 27, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kenya yaripoti maambukizi mapya 932 ya ugonjwa wa corona

Maambukizi mapya 932 ya ugonjwa wa corona yamedhibitishwa nchini baada ya kupima sampuli 9,424. Kiwango cha maambukizi nchini kimeshuka na […]

Health/ Afya

Kenya yarekodi maambukizi mapya 1,258 ya corona

August 25, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kenya yarekodi maambukizi mapya 1,258 ya corona

Kenya imedhibitisha maambukizi mapya 1,258 ya ugonjwa wa corona baada ya kupima sampuli 9,868. Hii inafikisha 232,052 idadi ya visa […]

Health/ Afya

Makataa ya watumishi wa umma kuchanjwa kukamilika Jumatatu

August 23, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Makataa ya watumishi wa umma kuchanjwa kukamilika Jumatatu

Watumishi wa umma nchini Kenya wana hadi hii leo Jumatatu Agosti 23 kupata chanjo dhidi ya corona la sivyo wachukuliwe […]

Health/ Afya

Kenya yapokea chanjo zaidi za corona kutoka Marekani

August 23, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kenya yapokea chanjo zaidi za corona kutoka Marekani

Kenya imepokea msaada wa dozi 880,000 za chanjo ya Moderna kutoka Marekani zilizowasili nchini Jumatatu asubuhi. Hii ni chanjo ya […]

Health/ Afya

Uhuru aongeza muda wa masharti ya corona kwa siku 60 zaidi

August 18, 2021August 18, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Uhuru aongeza muda wa masharti ya corona kwa siku 60 zaidi

Masharti yaliyopo kuzuia msambao wa virusi vya ugonjwa wa corona yatasalia kuwepo kwa muda wa siku 60 zaidi ametangaza rais […]

Health/ Afya

Kenya yaripoti maambukizi mapya ya corona kwa siku moja

August 18, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kenya yaripoti maambukizi mapya ya corona kwa siku moja

Kenya imeripoti maambukizi mapya 1,506 ya ugonjwa wa corona baada ya kupima sampuli 9,840 katika muda wa saa Ishirini na […]

Health/ Afya

Wagonjwa wa corona wakosa hewa, maambukizi yakipanda

August 17, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Wagonjwa wa corona wakosa hewa, maambukizi yakipanda

Idadi ya wagonjwa wa corona wanaohitaji hewa ya oxijeni katika hospitali mbalimbali inazidi kuongezeka huku taifa likiandikisha maambukizi zaidi ya […]

Health/ Afya

Mtoto wa siku 7 akutwa na corona Kenya, 30 wafariki

August 9, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Mtoto wa siku 7 akutwa na corona Kenya, 30 wafariki

Mtoto wa siku saba ni miongoni mwa watu 745 waliokutwa na ugonjwa wa corona baada ya kupima sampuli 6,209. Idadi […]

Health/ Afya

Kenya yakaza kamba katika kupambana na corona

July 30, 2021 Felix AsohaLeave a Comment on Kenya yakaza kamba katika kupambana na corona

Serikali imetangaza kukaza kamba katika masharti ya kuzuia msambao wa virusi vya corona kufuatia kuongezeka kwa idadi ya visa hivyo. […]

Health/ Afya

Posts navigation

Older posts

Popular Posts

  • Blog James Mahmi Arejea Truth FM

    Mtangazaji tajika wa Injili James Mahmi amejiunga na Kituo Cha Truth FM.&nb...

  • Parliament/Bunge , Politics/Siasa , Uncategorized TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

    Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametanga...

  • Politics/Siasa UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga

    Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia kuwasilisha kesi maha...

  • Uncategorized Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

    Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza r...

  • Crime/ Uhalifu , Death/ Vifo , International/ Kimataifa , Security/Usalama Kikosi Cha Tatu Cha Wanajeshi Wa Kenya Chatumwa DRC.

    Taifa la Kenya limetuma kikosi cha tatu cha wanajeshi wa kudumisha amani ka...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • James Mahmi Arejea Truth FM Mtangazaji tajika wa Injili James Mahmi amejiunga na Ki... 8 views per day
  • TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila O... 1.38 views per day
  • UDA kupinga matokeo ya uchaguzi wa Muguga Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimetishia k... 1.09 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact
  • Careers