Tume ya jinsia yaadhimisha miaka kumi tangu kubuniwa
Tume ya usawa wa jinsia nchini (NGEC) imeadhimisha miaka kumi tangu kubuniwa kwake kushinikiza kuwepo kwa usawa katika nafasi za […]
Tume ya usawa wa jinsia nchini (NGEC) imeadhimisha miaka kumi tangu kubuniwa kwake kushinikiza kuwepo kwa usawa katika nafasi za […]
Baraza la Magavana limesema litashirikiana na bunge kushinikiza marekebisho ya katiba ili mgao wa serikali za kaunti kuongezwa. Hii ni […]
Kongamano la saba la Ugatuzi lililokuwa liandaliwe wiki ijayo Agosti 23-26 katika kaunti ya Makueni limehairishwa kwa sababu ya corona. […]
Bunge la kaunti ya Nyamira limeidhinisha uteuzi wa Dr James Gesami Ondicho kuwa naibu Gavana wa kaunti hiyo. Gesami sasa […]
Wizara ya fedha imetuma deni la Sh26.9b kwa serikali za kaunti pesa zilizokuwa zimesalia kwa kipindi cha matumizi ya fedha […]
Bunge la kaunti ya Kisii kwa kauli moja limepitisha bajeti ya mwaka 2021-2022 inayogharimu Sh12.5b. Bajeti hiyo imepitishwa baada ya […]
Hatua zilizopigwa katika kuleta huduma karibu na mwananchi zimeangaziwa kwenye kongamano la Ugatuzi lililoandaliwa Jumanne jijini Nairobi. Mwenyekiti wa baraza […]
Wizara ya fedha imetoa Sh43.5b zaidi kwa serikali za kaunti kulipa madeni wanayodaiwa na wafanyibiashara. Waziri wa fedha balozi Ukur […]
Baraza la Magavana limetishia kusitisha utoaji wa huduma katika kaunti zote 47 wiki ijayo iwapo wizara ya fedha haitawapa shilingi […]
Maseneta wamewashutumu magavana kwa kusimamia wizi wa pesa katika serikali za kaunti. Wakiongozwa na seneta wa Kakamega Cleophas Malala, maseneta […]