MARUBANI WA KENYA AIRWAYS WAAGIZWA KUREJEA KAZINI KUFIKIA KESHO
Mahakama imeagiza marubani wa kampuni ya ndege ya Kenya Airways (KQ) kurejea kazini kufikia saa kumi na mbili asubuhi siku […]
Mahakama imeagiza marubani wa kampuni ya ndege ya Kenya Airways (KQ) kurejea kazini kufikia saa kumi na mbili asubuhi siku […]
Maafia sita wa Polisi wameshtakiwa kwa mauji ya ndugu wawili wa Kianjokoma wameshtaka kwa mauji. Hata hivyo wamekanusha mashtaka mbele […]
Mahakama imeagiza Polisi SITA waliokamatwa kuhusiana na mauaji ya ndugu wawili wa Kianjokoma kaunti ya Embu wakule kiapo. Jaji Daniel […]
Mahakama kuu imetaja kama dharura ombi la Polisi sita kutaka miili ya ndugu wawili waliouawa Kianjokoma, kaunti ya Embu kufufuliwa. […]
Maafisa sita wa Polisi wanaohusishwa na mauaji ya ndugu wawili wa Kianjokoma kaunti ya Embu wamewasilisha kesi mahakamani kuzuia kushtakiwa kwao. Kupitia […]
Rais Uhuru Kenyatta amemsimamisha kazi Jaji wa Mahakama ya Mazingira Mary Muthoni Gitumbi kwa misingi ya kutokuwa katika hali nzuri […]
Rais Uhuru Kenyatta amemsimamisha kazi Jaji wa Mahakama ya Mazingira Mary Muthoni Gitumbi kwa misingi ya kutokuwa katika hali nzuri […]
Mahakama ya Rufaa inatazamiwa kuwapatia mawakili kwenye kesi ya BBI uamuzi kamili uliozika mchakato huo. Mawakili wa wakereketwa wa mchakato […]
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu wanne mtaani Kitengela wiki iliyopita atazuiliwa kwa muda wa siku kumi zaidi. Hii ni […]
Maafisa sita wa polisi waliokamatwa kuhusiana na mauaji ya ndugu wawili Kianjokoma kaunti ya Embu watazuiliwa kwa siku 14 zaidi. […]