MAJAJI WAMEKUWA WAHUNI ADAI CHERARGEI
Seneta wa Nandi Samson Cherargei ameikosoa Mahakama Kuu kuhusu uamuzi wa kuharamisha uteuzi wa Makatibu Waandamizi 50. Benchi la majaji […]
Seneta wa Nandi Samson Cherargei ameikosoa Mahakama Kuu kuhusu uamuzi wa kuharamisha uteuzi wa Makatibu Waandamizi 50. Benchi la majaji […]
Muungano wa Azimio la umoja hii leo inatarajiwa kuandaa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Kamkunji jijini Nairobi ambapo unatarajiwa […]
Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia vitoza machozi ili kuwatawanya mamia ya wanaharakati walioandamana katikati mwa jiji la Nairobi ili kupinga […]
Katibu wa Kudumu katika Idara ya Huduma za Magereza Esther Ngero amejiuzulu. Haya yanajiri wiki moja tu baada ya kuhamishwa […]
Baadhi ya wabunge waasi wa Chama Jubilee wamehudhuria mkutano wa wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza iliyoandaliwa katika ikulu ya […]
Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametangaza kutambua uhalali wa ushindi wa Rais William […]
Rais William Ruto amepinga hatua ya Kinara wa Upinzani Raila Odinga yakuandaa maandamano kupinga kubanduliwa afisini kwa makamishana wanne wa […]
Wabunge wameitwa kwenye kikao maalum Jumatano hii kuidhinisha majina ya makamishna wateule wa tume ya uchaguzi (IEBC). Karani wa bunge […]
Benki ya Equity imekana madai yaliyotolewa na naibu rais William Ruto kwamba ilimpatia mkopo wa shilingi billion kumi na tano […]
Bunge la kitaifa limeanza kibarua cha kuwasaili makamishna wanne wateule wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini (IEBC). Juliana […]