Biblia Husema Broadcasting
Biblia Husema Broadcasting
Nairobi 96.7 | Eldoret 96.3 | Nakuru 102.9 | Kisumu 101.5 | Lokichogio 102.5 | Voi 105.3 | Kakuma 90.4 | Marsabit 91.1

Biblia Husema Broadcasting

Faith comes by Hearing, And Hearing by the word of God, Romans 10:17.

Who we are

Biblia Husema Radio is one of leading Christian Radio station in Kenya. By God's grace and support from partners we have achieved a great coverage contrywide and worlwide through our online live stream. Recently we have acquired two frequencies in kenya remote and greatly unreached area Marsabit and Kakuma. We are continually growing thanks to the support and Prayers of both our listeners and partners. Continue supporting us even as we reach the unreached.

Our Partners

These are our partners

Habari

Habari kutoka nchini na za kimataifa.

Watu 671 wamepatikana na corona

Watu 671 wamepatikana na corona baada ya kupima sampuli 6,200 katika  muda wa saa Ishirini na nne zilizopita. Waziri wa […]

Mkewe rais Margaret Kenyatta apongeza wahudumu wa afya wa jamii

Mkewe rais Margaret Kenyatta amepongeza jukumu muhimu linalotekelezwa na wahudumu wa afya wa jamii katika kupambana na janga la COVID19. […]

Idadi ya waliopona corona yaongezeka zaidi

Idadi ya visa vya ugonjwa wa corona nchini imeongezeka na kufikia 23, 202 baada ya watu 605 kupatikana na ugonjwa […]

Wanubi wataka uraia wa Kenya

Jamii ya Wanubi nchini Kenya inamtaka rais Uhuru Kenyatta kuitambua rasmi ili kuiwezesha kupata stakabadhi muhimu za kitaifa ikiwemo vitambulisho […]