Biblia Husema Broadcasting
Biblia Husema Broadcasting
Nairobi 96.7 | Eldoret 96.3 | Nakuru 102.9 | Kisumu 101.5 | Lokichogio 102.5 | Voi 105.3 | Kakuma 90.4 | Marsabit 91.1

Biblia Husema Broadcasting

Faith comes by Hearing, And Hearing by the word of God, Romans 10:17.

Who we are

Biblia Husema Radio is one of leading Christian Radio station in Kenya. By God's grace and support from partners we have achieved a great coverage contrywide and worlwide through our online live stream. Recently we have acquired two frequencies in kenya remote and greatly unreached area Marsabit and Kakuma. We are continually growing thanks to the support and Prayers of both our listeners and partners. Continue supporting us even as we reach the unreached.

Our Partners

These are our partners

Habari

Habari kutoka nchini na za kimataifa.

Ijumaa ya tarehe 14 Mei itakuwa sikukuu – Serikali yatangaza

Serikali imetangaza kuwa Ijumaa ya tarehe 14 mwezi huu itakuwa sikukuu. Katika tangazo kwenye gazeti rasmi la serikali, waziri wa […]

Rais Samia Suluhu kuhutubia bunge la Kenya

Rais wa Tanzania Samia Suluhu anayetazamiwa kuwasili humu nchini baadaye hii leo kwa ziara rasmi ya siku mbili, atahutubia kikao […]

Mataifa ya Afrika yaonywa kuhusu maambukizi ya corona

Shirika la afya duniani (WHO) limeyataka mataifa ya Afrika kuwa macho ili kuepuka wimbi lingine la msambao wa virusi vya […]

JSC huru kupendekeza jaji mkuu mpya

Tume ya huduma za mahakama (JSC) sasa iko huru kupendekeza jina la Jaji Mkuu mpya baada ya kukamilisha mahojiano siku […]